0
Dr. Ramesh Shah mwenyekiti wa watanzania wenye asili ya india jamii ya Shree Sanatan Dharma Sabha nchini akiongea na wanachama (hawapo pichani) juu ya utendaji kazi wa sheria katika nchi pamoja na haki ya kila mtu kuilewa katiba na sheria ikiwa ni jambo la msingi.

Baadhi ya wanachama wa Shree Sanatan Dharma Sabhi wakimsikiliza mwenyeketi wao (hayupo pichani) wakati wa uwasilishaji wa mafunzo ya kutambua haki zao za msingi popote wanapokuwa, wa kwanza kushoto ni Preeti shah ambaye ni dada yake Dr. Ramesh Shah.

Dr. Ramesh shah msomi wa miaka ya nyuma na mkufunzi akiongea na wanachama wanaomuangalia kwa makini masuala mtambuka yahusuyo hofu, sheria, katiba, rushwa na uwekezaji jumapili hii katika kituo cha mikutano na ibada kisutu jijini Dar Es Salaam.

Wanachama na viongozi wa Shree Sanatan Dharma Sabhi kutoka mikoani nchini  wakisikiliza kutoka kwa mwenyekiti wao Dr. Shah (hayupo pichani) alipokuwa akiwasilishaji nafasi yao katika nchi huku wakitambua haki zao za msingi.


Post a Comment

 
Top